Agano la Kale

Agano Jipya

Mwanzo 19:19 Biblia Habari Njema (BHN)

Ni kweli kwamba mimi mtumishi wenu nimepata fadhili mbele yenu, nanyi mmenionea huruma sana kwa kuyaokoa maisha yangu; lakini milimani ni mbali mno. Maangamizi haya yatanikuta kabla sijafika huko, nami nitakufa.

Kusoma sura kamili Mwanzo 19

Mtazamo Mwanzo 19:19 katika mazingira