Agano la Kale

Agano Jipya

Mwanzo 17:20 Biblia Habari Njema (BHN)

“Na, kuhusu Ishmaeli, nimesikia ombi lako. Nitambariki, nitamjalia watoto wengi na kuwazidisha sana. Ishmaeli atakuwa baba wa watawala kumi na wawili, nami nitamfanya kuwa baba wa taifa kubwa.

Kusoma sura kamili Mwanzo 17

Mtazamo Mwanzo 17:20 katika mazingira