Agano la Kale

Agano Jipya

Mika 7:1 Biblia Habari Njema (BHN)

Ole wangu!Hali ilivyo ni kama baada ya mavuno;hakuna tini za mwanzoni ninazotamani.Ni kama wakati wa kuchuma zabibuhakuna hata shada moja la zabibu la kula!

Kusoma sura kamili Mika 7

Mtazamo Mika 7:1 katika mazingira