Agano la Kale

Agano Jipya

Mhubiri 1:1-5 Biblia Habari Njema (BHN)

1. Yafuatayo ni maneno ya Mhubiri mwana wa Daudi, aliyekuwa mfalme huko Yerusalemu.

2. Bure kabisa, bure kabisa,nakuambia mimi Mhubiri!Kila kitu ni bure kabisa!

3. Binadamu hufaidi ninikwa jasho lake lote hapa duniani?

4. Kizazi chapita na kingine chaja,lakini dunia yadumu daima.

5. Jua lachomoza na kutua;laharakisha kwenda machweoni.

Kusoma sura kamili Mhubiri 1