Agano la Kale

Agano Jipya

Maombolezo 3:63-66 Biblia Habari Njema (BHN)

63. Wakati wote, wamekaa au wanakwenda,mimi ndiye wanayemzomea.

64. Uwalipize, ee Mwenyezi-Mungukadiri ya hayo matendo yao,kadiri ya mambo waliyotenda wenyewe.

65. Uipumbaze mioyo yao,na laana yako iwashukie.

66. Uwafuatie kwa hasira, uwaangamize,uwafanye watoweke ulimwenguni.”

Kusoma sura kamili Maombolezo 3