Agano la Kale

Agano Jipya

Maombolezo 1:11 Biblia Habari Njema (BHN)

Watu wa Yerusalemu wote wanahangaika kutafuta chakula;hazina zao wanazitoa kupata chakula,wajirudishie nguvu zao.Nao mji unalia,“Hebu niangalie, ee Mwenyezi-Mungu,ona jinsi nilivyogeuka kuwa duni.

Kusoma sura kamili Maombolezo 1

Mtazamo Maombolezo 1:11 katika mazingira