Agano la Kale

Agano Jipya

Maombolezo 1:1 Biblia Habari Njema (BHN)

Ajabu mji uliokuwa umejaa watu,sasa wenyewe umebaki tupu!Ulikuwa maarufu kati ya mataifa;sasa umekuwa kama mama mjane.Miongoni mwa miji ulikuwa kama binti mfalme;sasa umekuwa mtumwa wa wengine.

Kusoma sura kamili Maombolezo 1

Mtazamo Maombolezo 1:1 katika mazingira