Agano la Kale

Agano Jipya

Malaki 2:9 Biblia Habari Njema (BHN)

Nami pia nitawafanya mdharauliwe na kupuuzwa na Waisraeli, kwa sababu hamkuzifuata njia zangu, na mnapowafundisha watu wangu mnapendelea baadhi yao.”

Kusoma sura kamili Malaki 2

Mtazamo Malaki 2:9 katika mazingira