Agano la Kale

Agano Jipya

Kutoka 7:20 Biblia Habari Njema (BHN)

Mose na Aroni wakafanya kama Mwenyezi-Mungu alivyowaamuru. Aroni aliinua fimbo yake juu mbele ya Farao na maofisa wake, akayapiga maji ya mto Nili, na maji yote mtoni yakageuka kuwa damu.

Kusoma sura kamili Kutoka 7

Mtazamo Kutoka 7:20 katika mazingira