Agano la Kale

Agano Jipya

Kutoka 6:6 Biblia Habari Njema (BHN)

Kwa hiyo, waambie Waisraeli hivi, ‘Mimi ni Mwenyezi-Mungu! Mimi nitawatoa katika nira mlizowekewa na Wamisri. Nitawaokoeni utumwani mwenu. Nitaunyosha mkono wangu wenye nguvu na kuwaadhibu vikali Wamisri na kuwakomboa nyinyi.

Kusoma sura kamili Kutoka 6

Mtazamo Kutoka 6:6 katika mazingira