Agano la Kale

Agano Jipya

Kutoka 4:6 Biblia Habari Njema (BHN)

Tena, Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, “Ingiza mkono wako kifuani mwako.” Mose akafanya hivyo, lakini alipoutoa nje, kumbe ukawa na ukoma; mweupe kama theluji.

Kusoma sura kamili Kutoka 4

Mtazamo Kutoka 4:6 katika mazingira