Agano la Kale

Agano Jipya

Kutoka 4:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)

1. Mose akamwambia Mungu, “Lakini Waisraeli hawataniamini wala kunisikiliza, bali watasema kuwa wewe Mwenyezi-Mungu hukunitokea.”

2. Hapo Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, “Unashika nini mkononi mwako?” Mose akamwambia, “Fimbo.”

Kusoma sura kamili Kutoka 4