Agano la Kale

Agano Jipya

Kutoka 39:21 Biblia Habari Njema (BHN)

Walifunga kifuko cha kifuani kwenye kizibao kwa kufunganisha pete zake na kizibao kwa kamba ya rangi ya buluu, ili kifuko hicho kisilegee ila kikalie ule mkanda uliofumwa kwa ustadi, kama Mwenyezi-Mungu alivyomwamuru Mose.

Kusoma sura kamili Kutoka 39

Mtazamo Kutoka 39:21 katika mazingira