Agano la Kale

Agano Jipya

Kutoka 38:17 Biblia Habari Njema (BHN)

Vikalio vyote vya nguzo vilikuwa vya shaba, lakini kulabu za nguzo hizo na vitanzi vyake vilikuwa vya fedha. Matumba yake yalikuwa ya fedha; pia nguzo zake zote zilishikamanishwa kwa fito za fedha.

Kusoma sura kamili Kutoka 38

Mtazamo Kutoka 38:17 katika mazingira