Agano la Kale

Agano Jipya

Kutoka 36:36 Biblia Habari Njema (BHN)

Alitengeneza nguzo nne za mjohoro, akazipaka dhahabu na kuzitilia kulabu za dhahabu. Vilevile alizifanyia vikalio vinne vya fedha.

Kusoma sura kamili Kutoka 36

Mtazamo Kutoka 36:36 katika mazingira