Agano la Kale

Agano Jipya

Kutoka 32:1 Biblia Habari Njema (BHN)

Watu walipoona kuwa Mose amechelewa kurudi kutoka mlimani, walikusanyika mbele ya Aroni na kumwambia, “Haya! Tutengenezee miungu itakayotuongoza maana hatujui lililompata huyo Mose aliyetutoa nchini Misri.”

Kusoma sura kamili Kutoka 32

Mtazamo Kutoka 32:1 katika mazingira