Agano la Kale

Agano Jipya

Kutoka 29:25 Biblia Habari Njema (BHN)

Kisha utavichukua tena kutoka mikononi mwao na kuviteketeza juu ya madhabahu pamoja na ile sadaka ya kuteketezwa, viwe harufu nzuri itakayonipendeza mimi Mwenyezi-Mungu. Hiyo ni sadaka inayotolewa kwa moto.

Kusoma sura kamili Kutoka 29

Mtazamo Kutoka 29:25 katika mazingira