Agano la Kale

Agano Jipya

Kutoka 28:38 Biblia Habari Njema (BHN)

Aroni atakivaa kibati hicho kwenye paji la uso wake; kwa hicho kibati atachukua lawama ya makosa ambayo Waisraeli wanaweza kuwa wameyafanya katika kunitolea tambiko takatifu, nami nitazikubali tambiko zao.

Kusoma sura kamili Kutoka 28

Mtazamo Kutoka 28:38 katika mazingira