Agano la Kale

Agano Jipya

Kutoka 26:33 Biblia Habari Njema (BHN)

Utalitundika pazia hilo kwenye vifungo, kisha ulilete lile sanduku la ushuhuda humo ndani kukiwa na vibao viwili vya mawe, nyuma ya pazia hilo. Pazia hilo litatenga mahali patakatifu na mahali patakatifu sana.

Kusoma sura kamili Kutoka 26

Mtazamo Kutoka 26:33 katika mazingira