Agano la Kale

Agano Jipya

Kutoka 24:4 Biblia Habari Njema (BHN)

Mose akayaandika maagizo yote ambayo Mwenyezi-Mungu alimpa. Kisha akaamka asubuhi na mapema, akajenga madhabahu chini ya mlima na kusimamisha nguzo kumi na mbili kulingana na idadi ya makabila kumi na mbili ya Israeli.

Kusoma sura kamili Kutoka 24

Mtazamo Kutoka 24:4 katika mazingira