Agano la Kale

Agano Jipya

Kutoka 22:31 Biblia Habari Njema (BHN)

Nyinyi mtakuwa watu waliowekwa wakfu kwangu. Kwa hiyo hamtakula nyama ya mnyama aliyeuawa na mnyama wa porini. Nyama hiyo mtawatupia mbwa.

Kusoma sura kamili Kutoka 22

Mtazamo Kutoka 22:31 katika mazingira