Agano la Kale

Agano Jipya

Kutoka 18:22 Biblia Habari Njema (BHN)

Hao ndio watakaokuwa na vikao kila siku kutatua matatizo ya watu. Matatizo magumu watakuletea wewe, lakini yale madogomadogo watayaamua wenyewe. Kwa njia hiyo utaweza kurahisisha kazi yako kwa vile watashirikiana nawe katika jukumu hilo.

Kusoma sura kamili Kutoka 18

Mtazamo Kutoka 18:22 katika mazingira