Agano la Kale

Agano Jipya

Kutoka 16:4 Biblia Habari Njema (BHN)

Ndipo Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, “Mimi nitawanyeshea mikate kutoka mbinguni. Kila siku watu watatoka na kukusanya chakula cha siku hiyo. Kwa njia hii nitawajaribu nione kama watazifuata sheria zangu au hawatazifuata.

Kusoma sura kamili Kutoka 16

Mtazamo Kutoka 16:4 katika mazingira