Agano la Kale

Agano Jipya

Kutoka 15:22 Biblia Habari Njema (BHN)

Kisha, Mose aliwaongoza Waisraeli kutoka bahari ya Shamu, wakaenda mpaka jangwa la Shuri. Walisafiri kwa muda wa siku tatu jangwani bila kuona maji yoyote.

Kusoma sura kamili Kutoka 15

Mtazamo Kutoka 15:22 katika mazingira