Agano la Kale

Agano Jipya

Kutoka 14:26 Biblia Habari Njema (BHN)

Kisha Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, “Nyosha mkono wako juu ya bahari, ili maji yarudi na kuwafunika Wamisri pamoja na magari yao na wapandafarasi wao.”

Kusoma sura kamili Kutoka 14

Mtazamo Kutoka 14:26 katika mazingira