Agano la Kale

Agano Jipya

Kutoka 11:10 Biblia Habari Njema (BHN)

Basi, Mose na Aroni walifanya maajabu hayo yote mbele ya Farao. Lakini Mwenyezi-Mungu alimfanya Farao kuwa mkaidi, akakataa kuwaruhusu Waisraeli waondoke nchini mwake.

Kusoma sura kamili Kutoka 11

Mtazamo Kutoka 11:10 katika mazingira