Agano la Kale

Agano Jipya

Kumbukumbu La Sheria 9:4 Biblia Habari Njema (BHN)

“Baada ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, kuwafukuza watu hao mbele yenu, msiseme moyoni mwenu kuwa, ‘Ni kwa sababu ya uadilifu wetu Mwenyezi-Mungu ametuleta tuimiliki nchi hii,’ ambapo Mwenyezi-Mungu amewafukuza watu hawa mbele yenu kwa sababu wao ni waovu.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 9

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 9:4 katika mazingira