Agano la Kale

Agano Jipya

Kumbukumbu La Sheria 9:21 Biblia Habari Njema (BHN)

Kile kitu kiovu, yaani yule ndama mliyejitengenezea, nilikichukua, nikakiteketeza motoni, nikakipondaponda na kukisagasaga, kikawa mavumbi laini; halafu nikayatupa hayo mavumbi kwenye kijito kilichotiririka chini ya mlima huo.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 9

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 9:21 katika mazingira