Agano la Kale

Agano Jipya

Kumbukumbu La Sheria 8:1 Biblia Habari Njema (BHN)

“Amri zote ninazowapeni leo, lazima mzifuate kwa uangalifu ili mpate kuishi na kuongezeka, mpate kuingia na kuimiliki ile nchi ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, aliapa kuwapa babu zenu.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 8

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 8:1 katika mazingira