Agano la Kale

Agano Jipya

Kumbukumbu La Sheria 7:4 Biblia Habari Njema (BHN)

Mkifanya hivyo wao watawapotosha watoto wenu wasimfuate Mwenyezi-Mungu, na kuwafanya waabudu miungu mingine, nayo hasira ya Mwenyezi-Mungu itawaka juu yenu, halafu atawaangamiza mara moja.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 7

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 7:4 katika mazingira