Agano la Kale

Agano Jipya

Kumbukumbu La Sheria 33:7 Biblia Habari Njema (BHN)

Juu ya kabila la Yuda alisema:“Ee Mwenyezi-Mungu usikilize kilio cha kabila la Yuda;umrudishe tena kwa watu wale wengine.Upigane kwa mikono yako kwa ajili yake,ulisaidie kabila la Yuda dhidi ya adui zake.”

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 33

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 33:7 katika mazingira