Agano la Kale

Agano Jipya

Kumbukumbu La Sheria 29:23 Biblia Habari Njema (BHN)

Imejaa madini ya kiberiti na chumvi, imeteketea na kuwa tupu, haikupandwa mbegu na haioti chochote. Ni kama ilivyokuwa wakati Mwenyezi-Mungu alipoangamiza Sodoma na Gomora, Adma na Seboimu, kwa hasira yake kali.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 29

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 29:23 katika mazingira