Agano la Kale

Agano Jipya

Kumbukumbu La Sheria 27:15 Biblia Habari Njema (BHN)

“ ‘Alaaniwe mtu yeyote afanyaye sanamu ya kuchonga au ya kusubu na kuisimamisha kwa siri, kitu ambacho kimetengenezwa na mikono ya fundi na ambacho ni chukizo kwa Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu’. Na watu wote wataitika, ‘Amina!’

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 27

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 27:15 katika mazingira