Agano la Kale

Agano Jipya

Kumbukumbu La Sheria 25:9 Biblia Habari Njema (BHN)

huyo mwanamke mjane atamwendea mbele ya hao wazee wa mji, atamvua kiatu chake kimoja na kumtemea mate usoni na kumwambia, ‘Hivi ndivyo anavyopaswa kutendewa mtu anayekataa kuidumisha nyumba ya kaka yake.’

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 25

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 25:9 katika mazingira