Agano la Kale

Agano Jipya

Kumbukumbu La Sheria 20:14 Biblia Habari Njema (BHN)

lakini wanawake na watoto, ng'ombe, na vyote vilivyomo mjini, nyara zake zote mwaweza kuchukua mateka kwa ajili yenu wenyewe; mnaweza kufurahia nyara za adui zenu, ambazo Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, amewapa.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 20

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 20:14 katika mazingira