Agano la Kale

Agano Jipya

Kumbukumbu La Sheria 2:12 Biblia Habari Njema (BHN)

Wahori pia waliishi huko Seiri hapo awali, lakini wazawa wa Esau waliwafukuza na kuwaangamiza, kisha wao wenyewe wakakaa katika eneo hilo badala yao. Waisraeli walifanya vivyo hivyo katika nchi ile ambayo Mwenyezi-Mungu aliwapa iwe mali yao).

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 2

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 2:12 katika mazingira