Agano la Kale

Agano Jipya

Kumbukumbu La Sheria 19:5 Biblia Habari Njema (BHN)

Kwa mfano, mtu aendaye na mwenzake msituni kukata kuni naye wakati anakata mti, shoka likachomoka kutoka kwenye mpini wake, likamuua yule mwingine, mtu huyo anaweza kukimbilia kwenye mji mmojawapo, akayaokoa maisha yake.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 19

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 19:5 katika mazingira