Agano la Kale

Agano Jipya

Kumbukumbu La Sheria 17:9 Biblia Habari Njema (BHN)

na huko mtawaendea makuhani Walawi, na mwamuzi aliye kazini wakati huo, nanyi mtatoa mashtaka mbele yao, nao watatoa uamuzi wao.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 17

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 17:9 katika mazingira