Agano la Kale

Agano Jipya

Kumbukumbu La Sheria 16:3 Biblia Habari Njema (BHN)

Msile sadaka hiyo na mikate iliyotiwa chachu. Kwa muda wa siku saba mtakula mikate isiyotiwa chachu, nayo ni mikate ya mateso – kwa sababu mlitoka Misri kwa haraka; kwa hiyo, muda wote mtakaoishi mtakumbuka ile siku mlipotoka Misri.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 16

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 16:3 katika mazingira