Agano la Kale

Agano Jipya

Kumbukumbu La Sheria 16:1 Biblia Habari Njema (BHN)

“Adhimisheni mwezi wa Abibu na kufanya Pasaka kwa heshima ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu. Maana katika mwezi huo wa Abibu, Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu aliwatoa Misri wakati wa usiku.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 16

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 16:1 katika mazingira