Agano la Kale

Agano Jipya

Kumbukumbu La Sheria 15:19 Biblia Habari Njema (BHN)

“Mtolee Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, wazaliwa wote wa kwanza wa kiume wa kundi lako la ng'ombe na kondoo. Usiwafanyize kazi ng'ombe hao na kondoo hao usiwakate manyoya.

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 15

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 15:19 katika mazingira