Agano la Kale

Agano Jipya

Kumbukumbu La Sheria 13:6 Biblia Habari Njema (BHN)

“Ikiwa ndugu yako wa tumbo moja, au mtoto wako wa kiume au wa kike, au mke wako umpendaye sana, au rafiki yako mwandani, atakushawishi kwa siri akisema, ‘Twende tukaabudu miungu mingine’, miungu ambayo wewe wala babu zenu hamuijui,

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 13

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 13:6 katika mazingira