Agano la Kale

Agano Jipya

Kumbukumbu La Sheria 10:12 Biblia Habari Njema (BHN)

“Sasa, enyi Waisraeli, Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu anataka nini kwenu, ila kumcha Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, kuzifuata njia zake zote, kumpenda, kumtumikia Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, kwa mioyo yenu yote na kwa roho zenu zote,

Kusoma sura kamili Kumbukumbu La Sheria 10

Mtazamo Kumbukumbu La Sheria 10:12 katika mazingira