Agano la Kale

Agano Jipya

Isaya 7:4 Biblia Habari Njema (BHN)

Mwambie awe macho, atulie na asiogope wala asife moyo, kwa sababu ya hasira kali ya mfalme Resini wa Ashuru, na ya mwana wa Remalia. Hao wawili ni kama tu moshi wa kuni zinazozimika.

Kusoma sura kamili Isaya 7

Mtazamo Isaya 7:4 katika mazingira