Agano la Kale

Agano Jipya

Isaya 7:1 Biblia Habari Njema (BHN)

Wakati mfalme Ahazi mwana wa Yothamu na mjukuu wa Uzia, alipokuwa anatawala Yuda, Resini, mfalme wa Aramu, na Peka mwana wa Remalia, mfalme wa Israeli, waliushambulia mji wa Yerusalemu, lakini hawakuweza kuuteka.

Kusoma sura kamili Isaya 7

Mtazamo Isaya 7:1 katika mazingira