Agano la Kale

Agano Jipya

Isaya 66:24 Biblia Habari Njema (BHN)

“Kisha watakwenda kuziona maiti za wale walioniasi. Wadudu watakaowala hawatakufa, na moto utakaowachoma hautazimika kamwe. Watakuwa chukizo kwa watu wote.”

Kusoma sura kamili Isaya 66

Mtazamo Isaya 66:24 katika mazingira