Agano la Kale

Agano Jipya

Isaya 66:12 Biblia Habari Njema (BHN)

Maana Mwenyezi-Mungu asema hivi:“Nitakuletea fanaka nyingi kama mto,utajiri wa mataifa kama mto uliofurika.Nanyi mtanyonya na kubebwa kama mtoto mchanga,mtabembelezwa kama mtoto magotini mwa mama yake.

Kusoma sura kamili Isaya 66

Mtazamo Isaya 66:12 katika mazingira