Agano la Kale

Agano Jipya

Isaya 61:7 Biblia Habari Njema (BHN)

Kwa vile mlipata aibu maradufu,watu wakaona kuwa fedheha ni majaliwa yenu,sasa mtapata eneo maradufu kuwa mali yenu,na furaha yenu itadumu milele.

Kusoma sura kamili Isaya 61

Mtazamo Isaya 61:7 katika mazingira