Agano la Kale

Agano Jipya

Isaya 60:17 Biblia Habari Njema (BHN)

“Badala ya shaba nitakuletea dhahabu,badala ya chuma nitakuletea fedha,badala ya miti, nitakuletea shaba,na badala ya mawe nitakuletea chuma.Amani itatawala juu yako,uadilifu utakuongoza.

Kusoma sura kamili Isaya 60

Mtazamo Isaya 60:17 katika mazingira