Agano la Kale

Agano Jipya

Isaya 54:1-3 Biblia Habari Njema (BHN)

1. Mwenyezi-Mungu asema hivi:“Imba kwa shangwe ewe uliye tasa,wewe ambaye hujapata kuzaa!Paza sauti na kuimba kwa nguvu,wewe usiyepata kujifungua mtoto.Maana watoto wako wewe uliyeachwawatakuwa wengi kuliko wa aliye na mume.

2. Panua nafasi hemani mwako,tandaza mapazia hapo unapoishi,usijali gharama zake.Zirefushe kamba zake,na kuimarisha vigingi vyake;

3. maana utapanuka kila upande;wazawa wako watamiliki mataifa,miji iliyokuwa mahame itajaa watu.

Kusoma sura kamili Isaya 54